Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Matokeo yalikuwa yanatangazwa kwa siku 6 , zote hizo hawakuona tatizo, baada ya kuona namba za mwisho kuwa Raila kashindwa ndio wakasema eti mchakato mzima ulikuwa wa hovyo, haufaisimple bana ukishaona sintofaham laxima uwake kwanini walistopisha live kwene tv
Kama ushahidi haupo haupo tuHuwezi kubisha Wakati wa process unabisha Wakati wa kuandaa Azimio ( declaration) na ndicho walichofanya
Jaji alikuwa anamsaidia Raila kijanja
Hebu wasaidie kujibuUngekuwa wakili ungeshindwa kujibu kaswali kadogo hicho? Au hukumbuki Mambo ya Prof P. Lumumba yalikua yanajibiwa na sentesi moja na J.Orengo?
Acha wanyemane mahakami msindi atajulikana