Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Hakuna pahala imesemwa hatoi haki, imekumbushwa tu kusimamia haki! Hata kwenye misiba sisi Wakatoliki, padri au katekista hukumbusha hivyo.Kwani alikuwa hatoi maamuzi ya haki? Alisimamia kesi gani aliyovurunda?
RIP judge
soma andiko lako tena philosophically!Hakuna pahala imesemwa hatoi haki, imekumbushwa tu kusimamia haki! Hata kwenye misiba sisi Wakatoliki, padri au katekista hukumbusha hivyo.
Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole aliyefariki Dunia jana tarehe 15-07-2020 saa 5 usiku baada ya Kuugua ghafla...