masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Tnamfahamu Jaji Chande Othman, aliyekuwa Jaki Mkuu wa Tanzania.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amemteua kuchunguza kifo cha Katibu Mkuu wa zamani, Dag Hammarsjold, aliyeuwawa kwa ajali ya ndege huko Ndola Zambia.
Kifo cha Dag Hammarksjoold wengi wamehisi ulukuwa mpango maalum wa mabeberu kuzuia kasi ya uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika.
Dag Hammerskjold, raia wa Sweden, alijipambanua kuwa mtetezi mkubwa wa nchi za Afrika kjitawala.
Uchunguzi huo, chini ya Umoja wa Mataifa utahitimishwa na ripoti ambayo Jaji Chande anaitayarisha na kuikabidhi kwa Katibu Mkuu wa sasa wa Umoja wa Mataifa ..
Source: New York Times
Do Spy Agencies Hold Answer to Dag Hammarskjold’s Death? U.N. Wants to Know.