PostGE2025 Jaji Chande: Tume ilipokea ushahidi kuhusu watu kupotea au kutopatikana tangu uchaguzi mkuu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
“...vilevile inawezekana kulikuwa na majeruhi ambao waliamua kutibiwa nje ya mfumo rasmi, na wakafariki bila taarifa zao kufikishwa panapostahili.

Tume pia ilipokea ushahidi na madai kuhusu watu kupotea au kutopatikana tangu wakati wa uchaguzi mkuu. Kwa kuzingatia ufafanuzi uliotolewa kwa idadi ya vifo hiyo 518 kwenye ripoti ya Tume, inaweza ikawa sio kauli ya mwisho - Not final and conclusive.” - Jaji Chande

Soma Pia: Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election', Oktoba Tunatiki/Tunatoka, Samia Must Go zilichochea watu washiriki kwenye vurugu

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…