Jaji Dkt. Adam Mambi aheshimu ratiba na majukumu yake, tunaoteseka ni wenye mashauri kwake

Jaji Dkt. Adam Mambi aheshimu ratiba na majukumu yake, tunaoteseka ni wenye mashauri kwake

Kufa c mwiko

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
752
Reaction score
320
Nianze kwa kukupa pole na majukumu mazito ya kulijenga taifa letu.

Mimi kama mwananchi nina maoni au ushauri kuhusu Jaji Dkt. Adam Mambi wa Mahakama Kanda ya Kati DODOMA.

Sina shaka hata chembe na utendaji wake nikili wazi tatizo lipo kupanga ratiba za kazi zake, mtu unasafiri kilomita 500 mpaka 600 kuja kusikiliza kesi inaahirishwa ndani ya dakika 5 kwamba mheshimiwa Jaji kabanwa na kazi nyingine.

Na sio mara moja, mh Jaji Mkuu kwa sisi wakulima maisha ni magumu unafika DODOMA siku moja kabla kesi unalala gesti kesho unafika mahakamani unaombwa excuse Jaji kabanwa na ratiba nyingine inaumiza Sana

Nikutakie majukumu mema, ni hayo tu.
 
Dah Kuna utaratibu wa kuingia high coart ghorofa ya pili dodoma pale mnajazana kama ng'ombe
 
Back
Top Bottom