Mbona wakuu hamshushi wasifu wa huyu mkuu, tunahitaji kumfahamu kwa undani!!!Wenye kumfahamu AG mpya mhe. WEREMA twaomba basi mtuletee wasifu wake hapa,tuanze kukata issues/kumjadili
Something is very wrong or right with this picture. Aidha baraza la mawaziri litavunjwa na Membe kuukwaa U-PM au bungeni kuna mtikisiko unakuja.
Uwezekano wa tatu unanitisha. Ill give it 14 days
Cheki kwanza cv ya mwanaidi maajar sinare mwanasheria aliyebobea.huyu jaji wako mpya hana cv hadi sasa mmeshindwa kuileta.kujua sheria za mikataba si kigezo pekee cha mtu kuwa mwanasheria mkuu. Kuna mambo mengi sana zaidi ya hilo
hana wasifu wa kueleweka kama dpp feleshi ambaye hata kupanga mashtaka hawezi.mbona wakuu hamshushi wasifu wa huyu mkuu, tunahitaji kumfahamu kwa undani!!!
Chenge nae mbona alikuwa kabobea tena kamaliza Havard,mbona alituua tucheki kwanza cv ya mwanaidi maajar sinare mwanasheria aliyebobea.huyu jaji wako mpya hana cv hadi sasa mmeshindwa kuileta.
Mtu mwingine ni professor abdallah jumbe safari alifaa sana kwenye nafasi hii.
Something is very wrong or right with this picture. Aidha baraza la mawaziri litavunjwa na Membe kuukwaa U-PM au bungeni kuna mtikisiko unakuja.
Uwezekano wa tatu unanitisha. Ill give it 14 days
Nafikiri kuna kila sababu ya kuingiza sura mpya kwenye idara nyeti za umma maana mambo yanaenda kwa mazoea tu siku hizi. Kikubwa ni uadilifu wa hawa viongozi wapya wanaoteuliwa. Wasituangushe.Ni among few surprises kutoka kwenye hii administration. Naona leakages za habari za uteuzi zimepungua kidogo - siyo kama enzi za uteuzi wa akina Membe, Lowassa, nk.
Rais anapangua wasaidizi wake kutoka Ikulu na kuwaweka katika mawizara. Kuna nini? Maana Jairo, Husu anayekuwa DAG. Kabla ya hapo kamuhanda, Dr. Mpango nk. Kuna nini?
kama alikata unajuaje, maana yeye yupo kwenye biashara zake, inawezekana kaona zinalipa zaidi ya kuingia kwenye mambo ya serikali. au kutokana na shughuli zake za uwakili kuna uwezekano kwamba aliwahi fanya kitu ambacho kitakuwa na conflict of interest na kazi ya AGMIMI nasema NAFASI ilipaswa apewe Mwanaidi Maajar ana uwezo wa sheria za mikataba ya madini n.k huko ndiko tunakolizwa. Huyu mheshimiwa hana kiwango kizuri.