View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Stephen Wassira kazaliwa mwaka 1945 dogo janja kabisa.
View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Tofauti ya Mhe Warioba na Mh Wassira kiumri ni ipi ?View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.
T
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Unamaana gani kusema kustaafu? Maana kama kustaafu Alisha staafu siku nyingi, anachokifanya ni haki yake ya kiraia katika kutoa mawazo yake. Unataka awe bubu kama viongozi wengine wastaafu anaoendelea kula kodi za wananchi wakati wananchi wanachinjwa kama kuku?View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Kikwete alidondoka hadharani mara mbili, 2005 na 2010 wakati wa kampeni za urais awamu yake ya kwanza na ya pili, ila hakustaafu na kuacha kugombea kwa sababu ya udhaifu wa kiafyaJaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
mbwa wewe naona hammupendi mzee huyu kwa sababu anawachana ukweli mafisadi nyie, angekuwa chawa msingeona kama mzee. Mbona hamuongelei sokwe lenu wasira?View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Wewe unastaafu lini kuwa chawa wa Lumumba?View attachment 3665807
Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active kwenye harakati.
Jaji Joseph Sinde Warioba alidondoka ghafla wakati anatoa nondo zake za kiharakati jambo lililoashiria afya yake si nzuri kwa sasa na amegoma kustaafu kabisa.
Nyani wasiraBora hata huyu kazeeka lakini kichwani bado yuko vizuri na anautimia uzee wake vizuri. Kuna wazee wa hovyo wapo wapo tu hata hawana faida kwa taifa.