Jaji Joseph Sinde Warioba atastaafu lini?

Ukiwa hai na bado Una uwezo wa kufanya KAZI, Fanya. Mwili ukishindwa ndo ukae tuu.
Kustaafu ni kubadili KAZI hapa duniani.
Humuoni Kikwete anavyoongoza nchi baada ya kustaafu?
 
Ukiwa hai na bado Una uwezo wa kufanya KAZI, Fanya. Mwili ukishindwa ndo ukae tuu.
Kustaafu ni kubadili KAZI hapa duniani.
Humuoni Kikwete anavyoongoza nchi baada ya kustaafu?
Acha wazee watusemee haya makobazi yanavotubagaza ndio wazee tunajivunia sio vizee vinavyojichubua ovyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…