Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Maneno Haisadii wapeleke mswaada wa sheria mbungeni upitishwe, na mahakimu, wakili wa Serikali watakao kaa na kesi zaidi za miezi sita wafukuzwe kaziJaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi ameagiza ngazi mbalimbali za mamlaka zinazohusika kufanya usuluhishi kuchukua hatua kwa watu au taasisi zinazopeleka kesi Mahakamani bila ya kuwa na ushahidi na kupelekea kuwepo kwa mahabusu wengi gerezani na kesi kuchukua muda mrefu.
Ameyasema hayo wakati akizindua jengo la mahakama ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma na kuongeza kuwa Mahakama inaendelea kuhakikisha wilaya zote nchini zinakuwa na majengo yake, kuongeza watumishi na vitendea kazi sambamba na kutumia teknolojia kurahisisha usikilizwaji wa mashauri.
Na yeye kamanisha ivyo watu wanakaa mabusu muda mref kwa kukosekana ushaidi au nimelewa tofautHilo si la msingi sana kama hili la kumshikilia mtu mahabusu kwa muda mrefu kwa kigezo cha kukusanya ushahidi ama kufanya uchunguzi mwisho Wa siku mtu anakuja onekana hana hatia na keshakaa ndani miezi, mwaka/miaka
Shyster JudgeJaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi ameagiza ngazi mbalimbali za mamlaka zinazohusika kufanya usuluhishi kuchukua hatua kwa watu au taasisi zinazopeleka kesi Mahakamani bila ya kuwa na ushahidi na kupelekea kuwepo kwa mahabusu wengi gerezani na kesi kuchukua muda mrefu.
Ameyasema hayo wakati akizindua jengo la mahakama ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma na kuongeza kuwa Mahakama inaendelea kuhakikisha wilaya zote nchini zinakuwa na majengo yake, kuongeza watumishi na vitendea kazi sambamba na kutumia teknolojia kurahisisha usikilizwaji wa mashauri.
Ili kuthibitisha kauli yake hiyo,Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi ameagiza ngazi mbalimbali za mamlaka zinazohusika kufanya usuluhishi kuchukua hatua kwa watu au taasisi zinazopeleka kesi Mahakamani bila ya kuwa na ushahidi na kupelekea kuwepo kwa mahabusu wengi gerezani na kesi kuchukua muda mrefu.
Ameyasema hayo wakati akizindua jengo la mahakama ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma na kuongeza kuwa Mahakama inaendelea kuhakikisha wilaya zote nchini zinakuwa na majengo yake, kuongeza watumishi na vitendea kazi sambamba na kutumia teknolojia kurahisisha usikilizwaji wa mashauri.
Waganda kwa asili Yao ni watu wabishi, wakorofi, argumentative and the like. Lakini Idd Amin silenced them when he started abducting them, killing them secretly, jailing them without cause, and the like. Jiwe alikuwa muuaji wa karne katili wa kutukuka, usingeliweza kufurukuta unless una sacrifice maisha yako. Waandishi wa habari wana msemo wao kuwa"No news is worthy of my life".Yeeeeee na yeeeeee everyone has founds his/her voice back!kweli jiwe alikua Dictator wa nguvu maana aliweza to silence more than 50M people's including former Presidents,PMs etc etc
100%nipoWaganda kwa asili Yao ni watu wabishi, wakorofi, argumentative and the like. Lakini Idd Amin silenced them when he started abducting them, killing them secretly, jailing them without cause, and the like. Jiwe alikuwa muuaji wa karne katili wa kutukuka, usingeliweza kufurukuta unless una sacrifice maisha yako. Waandishi wa habari wana msemo wao kuwa"No news is worthy of my life".
Sasa si kasema wanaopeleka kesi bila ushahidi wachukuliwe hatua ndio hiyo sasa hatua itaangalia sheria inatakaje.Hii ni kauli ya kisiasa sio ya kisheria,
Kisheria madhara ya kutokuwa na ushahidi ni kwa kesi kufutwa na aliyepeleka kesi kutakiwa kulipa gharama.
Sasa sijui yeye anapendekeza nini kifanyike zaidi ya hapo.
Mbona mwanzoni hakufanya hivyo kiasi ambacho kimewatesa watu wengi pasipokuwa na uhalali wowote?Sasa si kasema wanaopeleka kesi bila ushahidi wachukuliwe hatua ndio hiyo sasa hatua itaangalia sheria inatakaje.
Masikini Mwendazake , kisharukwa na kila mtu !Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi ameagiza ngazi mbalimbali za mamlaka zinazohusika kufanya usuluhishi kuchukua hatua kwa watu au taasisi zinazopeleka kesi Mahakamani bila ya kuwa na ushahidi na kupelekea kuwepo kwa mahabusu wengi gerezani na kesi kuchukua muda mrefu.
Ameyasema hayo wakati akizindua jengo la mahakama ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma na kuongeza kuwa Mahakama inaendelea kuhakikisha wilaya zote nchini zinakuwa na majengo yake, kuongeza watumishi na vitendea kazi sambamba na kutumia teknolojia kurahisisha usikilizwaji wa mashauri.
...kwenye criminal procedure, judges and magistrates know what it means by "initial orders" bcoz hii part ya public law.Hii ni kauli ya kisiasa sio ya kisheria,
Kisheria madhara ya kutokuwa na ushahidi ni kwa kesi kufutwa na aliyepeleka kesi kutakiwa kulipa gharama.
Sasa sijui yeye anapendekeza nini kifanyike zaidi ya hapo.