Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba, NCCR-Mageuzi wanapanga kumsimamisha Jaji Robert Kisanga katika nafasi ya Uspika, hatua ambayo inaelezwa kuweza kuwasukuma Chadema na CUF kumwachia. CUF wamewaachia Chadema waliomsimamisha Mabere Marando, na Hamad Rashid amejitoa na kuwaunga mkono Chadema. Kisanga anaweza kushinda kwa kuwa CCM wataona afadhali ya NCCR kuliko Chadema kukalia kiti. Huu ni mwaka wa Mageuzi.
Tetesi hizo zinasema Sitta anaweza kupoozwa kwa kupewa uwaziri hata Uwaziri Mkuu ama Wizara ya Utawala Bora akapambane na Ufisadi vizuri.
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba, NCCR-Mageuzi wanapanga kumsimamisha Jaji Robert Kisanga katika nafasi ya Uspika, hatua ambayo inaelezwa kuweza kuwasukuma Chadema na CUF kumwachia. CUF wamewaachia Chadema waliomsimamisha Mabere Marando, na Hamad Rashid amejitoa na kuwaunga mkono Chadema. Kisanga anaweza kushinda kwa kuwa CCM wataona afadhali ya NCCR kuliko Chadema kukalia kiti. Huu ni mwaka wa Mageuzi.
Nilikuwa na waza hivyo pia.Lazima watampooza Uwaziri Mkuu au kijiwizara iliasifurukute na wapambe wake waone wanasauti pia.Tetesi hizo zinasemaama Wizara ya Utawala Bora akapambane na Ufisadi vizuri.Sitta anaweza kupoozwa kwa kupewa uwaziri hata Uwaziri Mkuu
Na Soffy Lion unamweka wapi?.