Nanuku kuwa Jaji Lewis Makame amesema ktk matangazo ya BBCswahili kupitia Ustream amesema matokeo ya Urais yatatoka siku ya Ijumaa tarehe 05/Nov/2010. Jaji Lewis aliyasema hayo ktk mahojiano na BBC yaliyorushwa Ustream saa 10:30 jioni ya leo tarehe 01.Nov.2010 Jijini Dar-es-Salaam.[/QUOTE\
Sasa mambo yanaanza kuonekana tatizo kubwa siyo wananchi,bali watanzania bado hawajawa huru.Endapo a learned judge(kama wanasheria wanavyopenda kujiita), Makame
na usomi wake hawezi kuheshimu wananchi na yuko kutetea masilahi ya waliomweka na masilahi yake basi Tanzania hatujawa na uhuru(not yet Uhuru)kama alivyo andika Odinga sr. kwenye kitabu chake.
Tume ya uchaguzi kwa muda mrefu sana imekuwa ikiwanyima haki wananchi wa Tanzania kwani ipo kwa manufaa ya walioko kwenye madaraka na siyo kwa masilahi ya Taifa,nadhani jaji Makame ameisha kula vyakutosha na kupotosha umma mno. Hivyo
ni vyema wananchi sasa wakaelekeza nguvu katika kurekebisha tume hiyo ili iendane na wakati.(hata hivyo ni maajabu kutegemea kati ya timu mbili zinazo shindana uwanjani moja ikiwa na marefaa na washika vibendera wao kushindwa na hiyo timu nyingine)hayo ndo matatizo tuliyo nayo watanzania kama tutakimbilia kuzima moto pasipo kutatua chanzo tukubali kuendelea kuwa zima moto.