Elections 2010 Jaji Makame asema ' Matokeo ya Urais kutangazwa Ijumaa 05/Nov/2010

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Nanuku kuwa Jaji Lewis Makame amesema ktk matangazo ya BBCswahili kupitia Ustream amesema matokeo ya Urais yatatoka siku ya Ijumaa tarehe 05/Nov/2010. Jaji Lewis aliyasema hayo ktk mahojiano na BBC yaliyorushwa Ustream saa 10:30 jioni ya leo tarehe 01.Nov.2010 Jijini Dar-es-Salaam.
 
Eheeeeee. Inamaana muda haotoshi wa kuchakachua? Ndio maana wanatangazi wajimbo 10 tu baada ya masaa takribani 6? Ukifanya mahebu ya haraka haraka wanahitaji siku 10 na kuendelea ili kukamilisha majimbo yote. Hii ni hatari sana kwa Taifa hili
 
Si walisema watatangaza ndani ya siku moja? Au walitegemea bosi wao atashinda kwa mteremko na sasa mambo yamewawia vigumu wanatoa muda wa kutosha kwa wachakachuaji wao. Too bad.
 
this is absolutely unfair to all dedicated Tanzanians... the country has spent huge sum on IT.... sielewi ya Ubunge yanatokaje na uris hayatoki...

JK na wenzako... you may chakachua for long time, but you cant chakachua all the time

2015 here we come
 
makame ni wa kupiga bomba tu ajue citizens are above all of them put together!
 
penda tusipende matokeo ndiyo yanapikwa hivyo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…