Jaji Makaramba atajwa kuandaa kesi ya Zitto.

Status
Not open for further replies.
Kumbe kushinda ilitakiwa ishinde Chadema tu akishinda mpinzani wake akishinda hata kama ni haki ashinde mpinzani huyo inakuwa si ushindi na badala yake Jaji anakuwa hajui kutenda haki?!
 
Nampongeza kijana Albert Msando kwa kuwagaragaza wazee wa CHADEMA ACADEMIA. Endelea kuomba ushauri kutoka kwa watu weledi na si kusikilizamihemko ya akina Mbowe na Mtei
weledi uliokinyume na katiba ya chama, kukimbilia mahakaman ndo kabisa kunamfukuzisha uanachama...wajinga wanasifia waelewa wanamhurumia tuuu hyo kibaraka wenu
 

Acha uchochezi kwanini unapenda uchochezi utakusaidia nini? hivo unajua adhari itakayopatikana na huo uchochezi yaani mbona mnapenda kubadilisha badilisha maneno haulaumu ulipo jikwaa unalaumu ulipoangukia ni upofu mbaya huo binadamu gani msiyojiona mnamapungufu jamani hatari hatari ni wa kuogopwa kama ukoma!!!!!!!!!
 
Tundu Lissu alishawahi kusema majaji wetu ni feki.

Kuna ukweli katika hili asilimia 75
 
Chadema tunakera muda mwingine. Tumeshinda kesi ya lema, ugaidi wa lwakatare na kilewo, mbona huko hatukusema hayo? Tukubali kushinda na kushindwa!
 
huku ni kutapatapa kwa mfa maji tu, zito ni akili kubwa na wakili wake ni akili kubwa c lisu majazba yamemjaa anatoa povu mdomon. Kubali zito ameshnda pamoja na wote wapenda haki msilete visingizio vya kibavicha hapa
 

Vyovyote vile iwavyo; kama chadema ingeshinda kesi hii basi ningeanza kutafakari upya tuhuma za usaliti dhidi ya Zitto. lakini kwa huu uamuzi...nazidi kua na imani na upande nilioegemea juu ya tuhuma dhidi ya Zitto.
Waliobaki wanapiga kele za Zitto zitto ni wale waganga njaa wasiotaka kushughulisha miili na akili zao. hawa walikuepo hata wakati wa ukoloni na ndio walioshiriki kwa kiasi kikubwa katika kufanikisha biashara ya utumwa.
 

Acha kutunyesha upuuzi wako..........unaharisha kwa mdomo!
 

Kha! Hamuamini kilichotokea enhe! Endeleeni kujitekenya tu,na hata bado

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
kadhalika wewe ulichokiandika ni uchochozi mtupu.unastahili kuogopeka kama ukoma na jamii nzima.sidhani kama umekielewa kilichoandikwa hapa,soma upya halafu urudi tena!
 
Jaji Utamwa huwa ni kichwa kwenye sheria na hata ninatamani kupata hukumu yake.
 
huku ni kutapatapa kwa mfa maji tu, zito ni akili kubwa na wakili wake ni akili kubwa c lisu majazba yamemjaa anatoa povu mdomon. Kubali zito ameshnda pamoja na wote wapenda haki msilete visingizio vya kibavicha hapa
nadhani inaeleweka kuwa Zitto ndo alishinda shauri la jana mahakama kuu! Kinachozungumzwa hapa ni kuwa hiyo kesi iliandaliwa na huyo mh.Jaji.
 


Nildhani kesi ilisikilizwa hadharani au nilikosea? Nilidhani kuwa mtetezi alikuwa yule bingwa asieshindika kwa sheria Mhe Tundu Lissu! Na nilidhani kuwa mtu ana uhuru wa kupata ushauri wa kisheria kutoka kwa mwenye elimu ya kisheria!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…