Jaji Masaju kama mahakama ni chombo huru kwa nini kiendelee kusikiliza kesi ya Lissu ambayo haina mashiko?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Mahakama ina mamlaka ya kuondoa kesk pale inapoona hakuna mashiko ya kiushahidi.

Leo hii mnalazimisha kusema kuwa watu mil 60 walioangalia video ya Lissu walihamasika kukinukisha na mahakama inapoteza muda kusikiliza ushahidi huu.

Kwa nini mahakama yako isitumie busara na kuiondoa hii kesi kwa mamlaka ilizonazo?

 
Unafikiri aliyemteua atamwacha aendelee na huo ujaji mkuu? Hii ni kete kumtesea mh. LISSU
 
Ujaji ni ajira tu na ni magumu kuliko dereva wa lori, matakwa ya bosi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…