Ulichoandika chote kimeharibiwa na maneno 'I guess'. Inawezekana vyoote vingine ume-guess pia. Maswali ni je, kweli anasoma LL.B ya OUT? Kama ni kweli, kwa nini? Kuwa judge isitoshe ku-justify kuwa aliisoma sheria...pengine ni mwendo wa kupeana. Tupe uhakika mkuu.Kwa waliosoma sheria, huyu Jaji Mbarouk ndio mnamsikia leo? Huyu mzee ni Jaji tangu utawala wa Mwinyi i guess, na he holds an advanced deploma in law (an equivalent to LL.B) by that time of course, ndio sifa iliyofanya apewe ujaji tangu miaka hiyo ya 80. Ametoa hukumu nyingi sana! Na ni jaji aliyemakini.
My take, hapa siasa imeingilia profession. Tuache ushabiki usio na tija.
Kwenye ukweli tukubali kuwa ni kweli, na tusipotoshe.