Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Nimemsikia Jaji Mstaafu Mihayo akiwaomba viongozi wa dini wasimame kuilinda na kuitetea amani ya Tanzania. Naamini Jaji anajua tatizo lipo kwa watawala na si viongozi wa dini. Yeye akiwakemea na viongozi wa dini wakawakemea wataona aibu na wataanza kukataliwa na mwisho watajirekebisha.
Kutowakemea watawala huku tukijua wao ndio chanzo Cha uvunjifu wa amani tutakua tunawapa mzigo usiowastahili viongozi wa dini.
Hakuna dina inaweza kukemea uongo bali ipo dini yakuwaeleza waongo kwamba ni waongo. Hakuna dini itakemea upendeleo wa kisiasa na dua ikapokelewa, dua itakayopokelewa Ni ile inayowakemea wanaofanya upendeleo na kupindisha haki.
Tuwakemee wanasiasa hasa watawala ili Taifa lipone.