Rais kikwete amemteua jaji mujulizi aloys kuwa m/kiti tume ya marekebisho za sheria. Kabla ya hapo alikuwa chuo cha mahakim lushoto. Kama mtakumbuka wakti wa kesi ya mh lema. Alikataliwa na wakili wa lema kuwa aliusika na deep green,kagoda scandal. Kabla ya kuteuliwa jaji alikuwa wakili mwenza Imma advocate. Chanzo channel 10