kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana Magereza yaliyopo sasa yamejaa mahabusu.
Badala akae na Watumishi wa mahakama wajadili kupunguza mahabusu yeye anawaza kutumia fedha za walipa kodi kujenga Magereza mapya. Ningemwona anawaza vyema endapo hata angesisitiza yaliyopo yaboreshwe lakini wapi.
Kwa mentality hizi na kwakuzingati namna majaji wanavyopatikana ni wazi hakuna muhimili unaojitambua yote ipo kwa ajili ya mishahara na marupurupu