Jaji mkuu, haki inachezewa nyumbani kwako na unakaa kimya-

Jaji mkuu, haki inachezewa nyumbani kwako na unakaa kimya-

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Ndugu wa marehemu na watu waliokatwa miguu, kwa ajali aliyoisababisha Jaji Rugazia, bado wanasumbuliwa na Jaji yupo kazini na wala hajafikishwa mahakamani, au kutoa tamko lolote li haki itendeke na ionekane imetendeka. Inawezekana sheria inamlinda jaji hata akiua watu kwa ulevi tu!!!!!!!!!!! kama sheria inasema hivyo, SAWA, LAKINI NI VYEMA KULITOLEA TAMKO. HII NI KULINDA HESHIMA YA MAHAKAMA NA IMANI YA MAHAKAMA KWA RAIA.
 
Ndugu hapa Tzzvyongo watu wengi wapo juu ya sheria...rejea!!
Mkapa...(mwacheni apumzike)
Edward Lowasa...
Andrew Chenge...
Rostam...
Karamagi...
 
Back
Top Bottom