Mushobozi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2007 Posts 543 Reaction score 103 Dec 16, 2010 #1 Wajameni kwa mara ya kwanza tanzania itakuwa na vijana wengi wa kuapishwa kuwa mawakili. Huu ni mwanzo na labda ukumbusho wakati jajai huyu mkuu akiwa katika kipindi chake cha kustaafu.
Wajameni kwa mara ya kwanza tanzania itakuwa na vijana wengi wa kuapishwa kuwa mawakili. Huu ni mwanzo na labda ukumbusho wakati jajai huyu mkuu akiwa katika kipindi chake cha kustaafu.
M mams JF-Expert Member Joined Jul 19, 2009 Posts 614 Reaction score 30 Dec 16, 2010 #2 The market force will determine their worth