Huyu naye ndiyo wale wale tu kwani hayo anayokataza ndiyo mtindo wa utendaji wa Mahakama zetu, mfano hai ni hii kesi ya ugaidi wa mchongo inayoendelea sasa hapo Mahakama Kuu laiti Majaji wanaoisikiliza wangekuea huru kesi ingeshaisha na Lissu kuachiwa huru lakini sasa hivi inaonyesha mawakakili wa Serikali ndiyo wamegeuka majaji wanachotaka ndiyo kinafanyika na majaji watatu wamekuwa wadogo kama Pirton.Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amesema Mahakama haiwezi kuendeshwa kwa utaratibu wa kusubiri maelekezo, bali inapaswa kuongozwa na uwajibikaji na kujituma kwa kila kiongozi mwenye dhamana.
“Hatuwezi kuishi kwa maelekezo. Sisi ni binadamu tuna akili na tunatambua wajibu wetu. Sisi ni viongozi wenye dhamana kubwa katika taifa hili, tunapaswa kuwajibika ipasavyo,” amesema.
Uongozi ni ujasiri wa kufanya maamuzi magumu na sometimes hata kuingia kwenye hatari ya kupoteza cheo ulichonacho. Hongera sana mkuu umeliweka vizuri sana. Ila aungwe mkono hata kwa hilo dogo alilonalo. Kumbukumbu/Historia itambeba kwamba aliwahi kusema. Anaongoza muhimili muhimu sana kwenye maisha ya watu.Hili Ndio tatizo la wengi waliopewa dhamana kuongoza.
Sasa analalamika au
Badala ya kuwawajibisha wanaopokea maelekeza anatoa sijui ushauri, hata hieleweki
Woga huu wa kutupia vijembe Ndio maana wengi hutimuliwa
Kama kuna kitu unalimaliza kwa cheo chako bila kuzunguka bushes
Hana lolote; huyu ni wale wale judge kazi maalumu!Anaenda kinyume na mfumo, anaongea kama Simbachanwene aliyetumbiliwa.
Samia is outraged.
Ana hasira kali sana na huyu mtu
Kumtoa hawezi.
Samia alidhani anamjua vizuri na hatamgeuka wa saab siku za nyuma alishampaga kahongo ka kuwa Mwanasheria wa Ikulu.
Masaju ana balls za kuongea hivi kwa saab anajua Samia kaingia mkenge na kumtoa hawezi.
Huyu Jaji anatutapeli tu. Kama yuko serious afanye kwa vitendo. Kesi ya Lissu toka Kisutu unaona kabisa inaendeshwa kwa maelekezo na hajafanya kitu. Ngoja tusubiri hiyo rufaa ya Katuga tuone itachukua muda gani.Wakuielekeza mahakama kwa sasa kama siyo Samia ni nani? Yaliyotokea Oct 29 2025 pamoja na kesi aliyopewa Lissu vimeonesha udhaifu wa awamu ya sita.
Hawa watu wamejaa hadaa na ulaghai kiasi kwamba kila wanaposema jambo, tafsiri yake ni lazima iwe kinyume na wanayoyatamuka.Huyu Jaji anatutapeli tu. Kama yuko serious sfanye kwa vitendo. Kesi ya Lidsu toka Kisutu unaona kabisa inaendeshwa kwa maelekezo na hajafanya kitu. Ngoja tusubiri hiyo rufaa ya Katuga tuone itachukua muda gani.
Hivi kwani haya maneno anamweleza nani hasa; na analenga nini?Hana lolote; huyu ni wale wale judge kazi maalumu!
Actions speaks louder than words!Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amesema Mahakama haiwezi kuendeshwa kwa utaratibu wa kusubiri maelekezo, bali inapaswa kuongozwa na uwajibikaji na kujituma kwa kila kiongozi mwenye dhamana.
“Hatuwezi kuishi kwa maelekezo. Sisi ni binadamu tuna akili na tunatambua wajibu wetu. Sisi ni viongozi wenye dhamana kubwa katika taifa hili, tunapaswa kuwajibika ipasavyo,” amesema.
Masaju ni mnafiki sana. Judiciary branch inayojitambua haiendeshi mambo yake kwa style hii.Hivi kwani haya maneno anamweleza nani hasa; na analenga nini?
Jaji Mkuu, si ndiye yeye mkuu wa eneo hilo?
Yeye anao wasaidizi wake wanaomsaidia kupanga mahakama iendeshwe kwa misingi ipi.
Wao ndio wanaofanya mipango yao yote ya sekta yao, na kuwashirikisha wote kwenye sekta hiyo jinsi ya kufanya shughuli zao.
Sasa anamweleza nani haya maneno.
Kama kuna ukiukwaji wa taratibu katika utendaji katika ngazi yoyote hawana njia ya kurekebishana wao kwa wao?
Anatangaza hadharani kuwa hana uwezo wa kuendesha eneo lake hadi atafute njia ya kujivua lawama hadharani?
Amwajibishe yeyote aliyekiuka misingi waliyojiwekea, halafu tuone huyo anayewaingilia atafanya nini. Hapo waTanzania watakuwa na uhakika wa anayojaribu kueleza hapa.
Ni kweli kabisa ulichokiandika Mkuu.Uongozi ni ujasiri wa kufanya maamuzi magumu na sometimes hata kuingia kwenye hatari ya kupoteza cheo ulichonacho. Hongera sana mkuu umeliweka vizuri sana. Ila aungwe mkono hata kwa hilo dogo alilonalo. Kumbukumbu/Historia itambeba kwamba aliwahi kusema. Anaongoza muhimili muhimu sana kwenye maisha ya watu.