johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya mh Willy Mutunga ametimba ofisi ya DCI kuwatetea vijana wa Gen Z ambao wanashikiliwa na Polisi
Mutungi amesema hali itakuwa mbaya zaidi pale Wazazi watakapoamua kuungana na watoto wao kwenye maandamano nchi nzima
Source: Citizen TV
Mutungi amesema hali itakuwa mbaya zaidi pale Wazazi watakapoamua kuungana na watoto wao kwenye maandamano nchi nzima
Source: Citizen TV