johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbe kuna baadhi wenye akiliJaji Mkuu mstaafu wa Kenya mh Willy Mutunga ametimba ofisi ya DCI kuwatetea vijana wa Gen Z ambao wanashikiliwa na Polisi
Mutungi amesema hali itakuwa mbaya zaidi pale Wazazi watakapoamua kuungana na watoto wao kwenye maandamano nchi nzima
Source: Citizen TV
Hongera zake Sana huyo Jaji Mstaafu wa Kenya. Afrika Watu wenye akili Kama zake wapo wachache Sana kupita kiasi.Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya mh Willy Mutunga ametimba ofisi ya DCI kuwatetea vijana wa Gen Z ambao wanashikiliwa na Polisi
Mutungi amesema hali itakuwa mbaya zaidi pale Wazazi watakapoamua kuungana na watoto wao kwenye maandamano nchi nzima
Source: Citizen TV
ukimfahamu vizuri hutachelewa kumporomoshea kitu au kumuhesabia ni wa kundi fulani la fedheha 🐒Hongera zake Sana huyo Jaji Mstaafu wa Kenya. Afrika Watu wenye akili Kama zake wapo wachache Sana kupita kiasi.
'Hata saa mbovu huwa inasema ukweli wakati mwingine.'ukimfahamu vizuri hutachelewa kumporomoshea kitu au kumuhesabia ni wa kundi fulani la fedheha 🐒
Mchango wa kupiga meza Au kucheka ni mkubwa mno!Hapa kwetu Spika wa Bunge mstaafu amesusa ata kuchangia chochote Bungeni hadi kichekesho.