Ukija mambo ya msingi wewe una akili sana,Punguza UtopoloJaji Mkuu pro Ibrahim Juma ni nguli wa Sheria na ni kiongozi mwenye heshima kubwa
Ili kulinda heshima na hadhi yake ambayo ameijenga ni vyema akatafakari na kujiuzilu
Leo Mahakama umeingia Kwenye aibu Toka kuumbwa Kwa Tanzania
Kwa kuingilia na polisi, na hii inaniniacha na maswali juu ya uhuru wa mahakama zetu
Watu waliofika kusikiliza kesi ya wazi kushambuliwa, kutekwa na baadhi kuuwawa kwenye viwanja vya mahakama, na mhimili wa mahakama kukaa kimya bila kukemea ni aibu
Mahakama ya Rufaa imefikiria vipi kuamua kulazimisha kusikiliza kesi ya Lisu Kwa njia ya mtandao wakati hakuna dharula ya ugonjwa au umbali, Nia ya Jaji ilikuwa Nini?
Jaji amepokea maelezo?
Mahakamani inapaswa kuwa sehemu salama Kwa raia, kupata haki bila upendeleo wala ushabiki wa siasa
Mhimili wa mahakama ujitafakari kama kweli Bado ni mhimili huru kama inavyotamka katiba
Jaji Mkuu pro Ibrahim Juma ni nguli wa Sheria na ni kiongozi mwenye heshima kubwa
Ili kulinda heshima na hadhi yake ambayo ameijenga ni vyema akatafakari na kujiuzilu
Leo Mahakama umeingia Kwenye aibu Toka kuumbwa Kwa Tanzania
Kwa kuingilia na polisi, na hii inaniniacha na maswali juu ya uhuru wa mahakama zetu
Watu waliofika kusikiliza kesi ya wazi kushambuliwa, kutekwa na baadhi kuuwawa kwenye viwanja vya mahakama, na mhimili wa mahakama kukaa kimya bila kukemea ni aibu
Mahakama ya Rufaa imefikiria vipi kuamua kulazimisha kusikiliza kesi ya Lisu Kwa njia ya mtandao wakati hakuna dharula ya ugonjwa au umbali, Nia ya Jaji ilikuwa Nini?
Jaji amepokea maelezo?
Mahakamani inapaswa kuwa sehemu salama Kwa raia, kupata haki bila upendeleo wala ushabiki wa siasa
Mhimili wa mahakama ujitafakari kama kweli Bado ni mhimili huru kama inavyotamka katiba
Huyu Mvuta Fegi wa Mukendo Musoma bora umuue lakini sio kujiuzuluAmeshindwa kazi Huyo mzee
Huyu c alistaafu, akaongezewa muda? Hii nchi ina vituko sana!Jaji Mkuu pro Ibrahim Juma ni nguli wa Sheria na ni kiongozi mwenye heshima kubwa
Ili kulinda heshima na hadhi yake ambayo ameijenga ni vyema akatafakari na kujiuzilu
Leo Mahakama umeingia Kwenye aibu Toka kuumbwa Kwa Tanzania
Kwa kuingilia na polisi, na hii inaniniacha na maswali juu ya uhuru wa mahakama zetu
Watu waliofika kusikiliza kesi ya wazi kushambuliwa, kutekwa na baadhi kuuwawa kwenye viwanja vya mahakama, na mhimili wa mahakama kukaa kimya bila kukemea ni aibu
Mahakama ya Rufaa imefikiria vipi kuamua kulazimisha kusikiliza kesi ya Lisu Kwa njia ya mtandao wakati hakuna dharula ya ugonjwa au umbali, Nia ya Jaji ilikuwa Nini?
Jaji amepokea maelezo?
Mahakamani inapaswa kuwa sehemu salama Kwa raia, kupata haki bila upendeleo wala ushabiki wa siasa
Mhimili wa mahakama ujitafakari kama kweli Bado ni mhimili huru kama inavyotamka katiba
kavunja heshima yake yoteJaji Mkuu pro Ibrahim Juma ni nguli wa Sheria na ni kiongozi mwenye heshima kubwa
Ili kulinda heshima na hadhi yake ambayo ameijenga ni vyema akatafakari na kujiuzilu
Leo Mahakama umeingia Kwenye aibu Toka kuumbwa Kwa Tanzania
Kwa kuingilia na polisi, na hii inaniniacha na maswali juu ya uhuru wa mahakama zetu
Watu waliofika kusikiliza kesi ya wazi kushambuliwa, kutekwa na baadhi kuuwawa kwenye viwanja vya mahakama, na mhimili wa mahakama kukaa kimya bila kukemea ni aibu
Mahakama ya Rufaa imefikiria vipi kuamua kulazimisha kusikiliza kesi ya Lisu Kwa njia ya mtandao wakati hakuna dharula ya ugonjwa au umbali, Nia ya Jaji ilikuwa Nini?
Jaji amepokea maelezo?
Mahakamani inapaswa kuwa sehemu salama Kwa raia, kupata haki bila upendeleo wala ushabiki wa siasa
Mhimili wa mahakama ujitafakari kama kweli Bado ni mhimili huru kama inavyotamka katiba
Mkuu unamuonea Tu bure. His hands are tied, there's nothing he can do.Jaji Mkuu pro Ibrahim Juma ni nguli wa Sheria na ni kiongozi mwenye heshima kubwa