Kwani Celina Kombani ndie alitunga hii sheria? Nilidhani bunge ndio linatunga sheria.
Na Chande nae mnafiki, kwa nini hakuongea wakati mjadala wa kitaifa unaendelea kabla ya sheria kutungwa na bunge?
...Hamna chama chochote, na hata katika nchi nyingi, ambacho kimekuwa suluhisho la matatizo. Uongozi makini na wenye uwezo kiutendaji, ndio umekuwa suluhisho. Narudia, sio chama, bali uongozi ndio suluhisho.Bado watu wanaangalia CCM kama sehemu ya suluhisho la matatizo yao!
kombana ana......,.t...w...a!