Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Katika hali ya kushangaza kilaza mmoja, GABRIEL MALATA[solicitor General] anatokea kwenye vyombo vya habari na kukemea mawakili wanaobeza hukumu ya kipumbavu kabisa kuwahi kutolewa katika mahakama ya rufaa,
Mawakili wakiwa vijuweni mwao wakauliza, who is Malata, anatoka Kanda ilee, ya nanii , okay wakasema sawa. Wakajiuliza Malata ana uwezo wa kuwakemea mawakili walio chini ya TLS?
Wakajiuliza hivi malata anaamini yupo kwenye cheo hicho kwa uwezo wake au "tiriba-lizimu?" hakuna jibu.
Juzi mahakama ya Rufaa imetengua maamuzi ya mahakama kuu yaliyoweka dhamana kwa makosa yote, bila kuadhiri hali ya mtuhumiwa, wale wazee wanaokula milioni 8 kwa mwezi kama mshahara wakasema hapana, mtu hata aksingiziwa akae ndani mpaka kesi iishe, hiyo ndiyo ya wanyonge.
Technologia itamkumbusha uko mbeleni naye IPO siku ataandika kitabu cha kujutia kama mkapa wakati alikuwa na nafasi ya kufanya kazi na kuzuia ila tutashangalia na kusifu siku ya kuzindua hicho kitabu.
Kwa mfano hawa wakurugenzi wakitumia uchama Wao wakawatangaza wanachama wenzao na upinzani wakakataa kukubali inchiii hiii ikachafuka unadhani Wa kwanza kulaumia si ni CAT kuwaruhusu makada Wa chama kusimamia uchaguzi. Alafu baadae tunaandika kitabu cha kuomba radhi.
Nilipoona kwenye panel hakuna jaji mkuu ambaye alikuwa analia makosa yote yawe na dhamana nilijua lazima meza ipinduliwe.
Nafikiri siku hiyo jaji mkuu alikuwa anatufurahisha sisi kama jamiii na alikuwa anatoa maoni Yake binafisi japo nilitamani angeyaweka kwenye sheria inchi ingemshukuru saaana.
Any court with sound jurisprudence will never arrive to the verdict the CAT has arrived in
1. Death penalty case
2. Mtikila private candidate case
3. Wangwe case on ccm wakurugenzi as returning Officer. That swearing will take out allegence? If the court is unable to stand against it allgence to the establishment how can you expect the mere Mkurugenzi to?
4. Sanga case
Am sure when civilization come, these will never be good precedents worthy any respect by any subordinate court in the land