Jaji Mstaafu Makaramba ashangazwa na Polisi kusema watu wamejaa Kesi ya Lissu badala ya uongozi

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba atoa tafakari juu tukio la Polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA katika Mahakama kuu.

"Nilikuwa nashangaa Polisi ndiye anayepaswa kujua kwamba Mahakama imejaa au ni uongozi wa Mahakama ndiyo unapaswa kusema pamejaa, na kujaa maana yake ni nini?"


Your browser is not able to display this video.

​
 
Ajatekwa tu huyu Mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…