Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Just Imagine,Senior officer bado hujafika kazini Saa 11 hii .
"Tunaendelea kushikiliwa katika eneo la mahojiano la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam pamoja na @WMutunga na @Honeyfarsafi.
Tumeambiwa tu tusubiri afisa mwandamizi afike. Hatujapewa taarifa nyingine yoyote. Bado wanashikilia pasipoti zetu.
Huenda tukafukuzwa na kupandishwa kwenye ndege inayofuata kurejea nyumbani." - Husseni Khalid, Mmoja wa waliambatana na Jaji Mutunga
View attachment 3338739
View attachment 3338748
Soma pia
- Pre GE2025 - DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu
- Pre GE2025 - Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu
- Pre GE2025 - Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar