Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.
Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.
Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.
Chanzo: ITV habari

Askofu Bagoza au Generali UlimwenguMkutano uongozwe na mtu huru kama Askofu Mwamakula, Mzee Butiku, Jaji Warioba, Fatma Karume....
Humtakii mema unataka afutwe kazi na boss wa ziroMutungi hadi muda huu hajui majukumu yake kama msajili wa vyama vy siasa. Hivi kuna logic gani vyama vy siasa kukutana na Siro? Wakati sheria na miongozo iko wazi?
Mutungi alitakiwa kumwambia Siro ana vunja katiba kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani. Mbona hazuii mikutano na vikao vya Ccm??
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.
Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.
Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.
Chanzo: ITV habari
4.Maria Sarungi 5.Fatma Karume.
Albdir tulizowapiga hawa kule Pemba zinawashughurikia niliingiza jina lake kama mara hamsini hivi, uwezi kutuharibia Uchaguzi tukuache usavaivu..😄😄Huyu mtu anachanganyikiwa huyu.
Huo mkutano ukiongozwa na mtu huru mapendekezo yake yatafanyiwa kazi na serikali ya CCM hata kama hayatawafurahisha CCM?
Huyo mtu huru atapatikana kwa utaratibu upi? asijekuitwa huru kumbe ana kadi ya CCM mfukoni.