Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Mara kadhaa nimeona magari yenye utambulisho Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania na ule wa jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kuzipita gari nyingine wakati alama ya barabarani hairuhusu.
Pia, kuzipita gari nyingine kwenye alama ya kuvuka barabara watembea kwa miguu. Je, kama majaji hawa wanakuwa ndani ya magari hayo hawashushi hadhi ya nyazifa zao?
Iweje mwamuzi wa nani ana haki anavunja sheria za barabarani? Inakuwaje polisi wa usalama barabarani hawawakamati na kuwafikisha mahakamani au kuwatwanga faini?
Au ili jambo ambalo kwangu ni maajabu lipo Tanzania tu? Na kwa nini Tanzania pekee, kama lipo Bongo pekee?