johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapa anazungumzia ajira!Kama corona na sasa OMICRON ndio kikwazo cha kupiga kura ya maoni, basi ikubalike kuwa yale yaliyomo kwenye rasimu ambayo hayana utata na hayahitaji ulazima wa kupigiwa kura basi yashuhurikiwe wakati huu bila kupoteza muda na hayo wengine yatashuhulikiwa hapo baadae!