Jaji Warioba akosoa Serikali kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu

Miaka mitatu elimu ya kuandika katiba mpya!!!!!

  • Hi

    Votes: 0 0.0%
  • 1

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
Tulianza mchakato wa kuandika katiba mpya mwaka ule wa 2011 tukaenda mpaka 2014, fedha kibao zikatumika kugharamia wajumbe wa katiba mpya, , leo tupewe tena miaka mitatu kupata elimu kisa tuu kuna kizazi hapa katikati kimekuja mnataka kusema kuwa kila kizazi kipya kikizalisha Tanzania tutakuwa tunaandika katiba.. washauri wa mama yetu tunaomba ashauriwe tena na tena miaka mitatu elimu raslimali fedha nyingi tulitumia kuandika iliyokwama, je, kama taifa tutakuwa tuuu tunazungumzia kuhusu katiba miaka yote na kutengenezeana fedha tuu, wajumbe wale kumbukeni walivyokuwa wengi kodi zetu zikatumika zipoteee hivi hivi!!! Aaaaaaaaaahhh nchi hii!! hapana miaka 3 elimu tunachukua digrii!!!!?
 
Labda miaka mitatu ya kula hela tena kama wakati ule.
 
Kura hapo juu ni kwa ajili ya nini mkuu maana sijaelewa
 
Kumbe wewe ndio mshauri mkuu wa Mama.
 
expand...
Wandugu ambia huyo mtawala mwanamke, amuogope "MUNGU" kwani si-niyeye kwa kinywa chake? Alitamka ya kwamba atafanya mabadiliko makubwa ht yakimgharimu ki-siasa? Sasa anapambana na nani tena? Ashasahau yeye ndo alitamka?!!!! KITI alichokalia kina DAMU, uovu ni mwingi mno kwa hicho KITI... vilio juu ya hicho KITI ni-vikubwa mno vimefika hadi Mbinguni, ndo maana kila anayekalia hicho KITI mwanzoni huanza vizuri sn, lkn baada ya muda roho za uovu ndani ya hicho KITI huanza tena kutenda kazi.... swali rahisi, ni-nani kakashifu/kachambua dini ya mtu mwingine? ukweli hayupo, TEC wametoa waraka wao wamemaliza wako kimya, hizo ni sababu tu za kuhalalisha jambo fulani, sasa nasema MUNGU HADHIHAKIWI anaujua ukweli wote, nasema, bado kuna mambo MUNGU anataka kuyatenda juu ya hii Nchi, mwenye masikio na asikie..............
 
Shida wanasiasa wanaharaka na katiba mpya kuliko hata sisi wananchi kuna watu Wana maslahi binafsi na katiba mpya
 
Shida wanasiasa wanaharaka na katiba mpya kuliko hata sisi wananchi kuna watu Wana maslahi binafsi na katiba mpya
Jaribu kufikiria zaidi katiba kuliko..... Kumfikiria mwana siasa.
Mwana siasa atapita ila Taifa ni endelevu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…