inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Nov 3, 2021 #201 Mmawia said: Kwahiyo? Click to expand... Unalitia aibu taifa mama la kiswahili
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Nov 10, 2021 #202 Wacha sasa na mimi nilalamike kwanini wachaga wengi ni madakitari na kwanini watanzania wasio wanaccm wanatelekezwa hawapewi uongozi japo kodi zao hazikataliwi.
Wacha sasa na mimi nilalamike kwanini wachaga wengi ni madakitari na kwanini watanzania wasio wanaccm wanatelekezwa hawapewi uongozi japo kodi zao hazikataliwi.