Ulitakiwa Ku declare kwamba wewe ni MDINI sugu kabla hujaanza maelezo yako.Mimi sipo hapa kueleweka na yeyote,
Mimi nipo Jamii Forum to speak the truth openly,to deliver a massage
eti ustaadhi wa Gas haitoki 🤣 🤣 🤣Huyu Ustadhi wa gas haitoki,furaha yake aone baraza zima la mawaziri swala tano,makatibu Wakuu wote wana sugu kwenye paji la uso ndio itakuwa furaha yake.
Na hizo nafasi.kubwakubwa ziko ngapi hapa tz maana unaweza kuta zingine zenye majina ya kiislam hukutaja?Friends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,
Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi,
Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gan,
Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,
Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?
Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani
Wakristo watupuuuu
Wajumbe ;
Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika
Mwenyekiti Bodi;
Dkt. Alexander Kyaruzi
Mkurugenzi Mkuu
Tito Mwinuka
REA
Bodi ya REA ya Dkt Kalemani
Wakristo Watupu
Members:
1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member
Jaji Warioba hukuyaona haya?
Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;
*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma Kanda ya Ziwa *
1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma
2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *
3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *
4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma
5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma
6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma
7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma
8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa
9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *
10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa
11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *
12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma
13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma
14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma
15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *
16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo
17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *
18. DG NSSF William Erio *Mkristo *
19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *
20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *
21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo
22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *
23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo
24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba *Mkristo *
25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo
26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale *Mkristo *
27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa *Mkristo *
28. DG NIDA Anorld Kihaule *Mkristo *
29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi *Mkristo *
30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo
31. Gavana Benki Florence Lwoga *Mkristo *
32. CG TRA Edwin Mhede *Mkristo *
33. CAG Charles Kichere *Mkristo *
34. SUMATRA Gilliard Ngewe *Mkristo *
35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-
The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu
1. Dr Maulidi Banyani NHC
2. Dr Athumani Ngenya TBS
3. Waziri Kindamba TTCL
4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority
Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote,ila inashangaza Sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake Tena competent ambao nao Wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,
Uongoz unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Haka kazee sijui kana matatizo gani,wazee wenzake wako kimya wanaendelea kutoa ushauri kwa staha na kulea wajukuu.Friends and Our Enemies...

Magufuli alikuwa mbaguzi sana. Ubaguzi wake ulibase kwanza kwenye kanda, dini na kabila.Friends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,
Na afasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Kuhukumu kivipiWatu 8,
Uko sahihi,lakin why double standards katika kuhukum zinapofanyika hizo teuzi?
Na itikadi roho mbaya yenye visasi ,hovyo kabisa yule jamaaMagufuli alikuwa mbaguzi sana. Ubaguzi wake ulibase kwanza kwenye kanda, dini na kabila.
Aliwapendelea sana Wasukuma, watu wa kanda ya ziwa na wakristu.
Aliwachukia sana watu wa kanda ya Nyanda za juu kusini, Kanda ya kaskazini, na watu wa Mtwara/Lindi.
Particulary aliwachukia Wachagga toka Moyoni.
Kutoaminiwa kwenye nafasi za kiasiasa ni kitu cha kawaida duniani kote.Magufuli alikuwa mbaguzi sana. Ubaguzi wake ulibase kwanza kwenye kanda, dini na kabila.
Aliwapendelea sana Wasukuma, watu wa kanda ya ziwa na wakristu.
Aliwachukia sana watu wa kanda ya Nyanda za juu kusini, Kanda ya kaskazini, na watu wa Mtwara/Lindi.
Particulary aliwachukia Wachagga toka Moyoni.
Toka lini Mtu kutoka bara kwenda kuwa Rais Zanzibar?Kwaiyo ni zamu ya maza kutujazia WAZENJI hadi kwenye mambo yasiyohusu muungano?
Toka lini JAJI kutoka ZNZ kuja kuteuliwa BARA??
Magufuli alikuwa na chuki na uislamu,na alikuwa na chuki na watu wa kaskazini,Haka kazee sijui kana matatizo gani,wazee wenzake wako kimya wanaendelea kutoa ushauri kwa staha na kulea wajukuu.
Kenyewe kutwa kuhangaika na Rais kwa vihoja vya kijinga na chuki binafsi,ndio maana Makonda aliwahi kukazaba vibao..
Hivi nyie mnakaelewa hasa hako kababu kanalalamikia nini hasa? Au kwa vile Samia ni muungwana? Samia angekuwa katili kama Dhalimu so angefuta Hata bajeti ya kigoda na kukaondoa kweli uenyekiti wa bodi Ili kaisome namba.
Tunashukuru mtoa mada Kwa kukaumbua.Huwa nasema mara nyingi hapa ikitokea viongozi wakiwa Waislam hususani Rais ,Wakristo ushenzi kama hako kababu kenu huwa wanaleta chokochoko Sana na kuwa provoke Waislam..
Nilisema na nasema tena Magufuli alikuwa mdini Sana,endapo alivyokuwa anafanya yakifanywa na Rais Muislam ingekuwa shida tupu.Tuacheni mambo ya kipumbavu tu deal na mambo ya msingi.
Muacheni Rais afanye kazi kwanza ameangushiwa zigo la madeni na Uchumi mfu .
CCM wamesema ni MZNZ kama baba yakeToka lini Mtu kutoka bara kwenda kuwa Rais Zanzibar?
Tito Mwinuka Tanesco badilisha Mkristo Iringa/Njombe badilisha, pia tunaomba na orodha kama hio enzi za kikwete toka 2005 hadi 2015, na uende ofisi za NSSF nchi nzima uone lilivyo shirika la kiislamu nchi hii ni hatari sana. Mungu atusaidie tu. Hapo bado Makabila kwenye taasis na mawizara, kwenye halmashauri na mikoa, duuh wengine kila sehemu ni kama sisimizi tu.
Bila kusahau watu wa Kusini,yeye alikuwa na watu wa Kanda ya Ziwa,Kati na Dar basiMagufuli alikuwa na chuki na uislamu,na alikuwa na chuki na watu wa kaskazini,
Pia alikuwa mkabila Sana Sana yule kiumbe
Mkuu tafakari yangu: Vigezo vya kuteuliwa kwao Ni kabila au uwezo? Walianza kuchagua dini kwanza au kanda au ukabila? Nani alifanya vetting JPM mwenyewe. Je. Huo ukristo unamsadiaje mkristo mwingine ili kuifanya dini iwe kigezo? Unahisi sababu ya kuwachagua hao wakristo?
Umemtaja Pengo so unamaanisha wakatoliki, je Unajua kuwa Kanisa Katoliki wamepata changamoto sana katika taasisi zao kipindi Cha JPM? Hao wakubwa wakristo wakatoliki walikuwa wapi?
Jitahidi sana kuepuka kuzungumzia maudini udini. Ni uduni mkubwa sana wa kufikiri. Mada yako ingekuwa kuhusu kukosa kwao sifa katika vyeo walivyopewa then ungeweza kuwa na maswali Kwanini wako pale. Sifa inasema awe na Elimu ya udaktari kwenda juu. Sasa huyu namjua kabisa darasa la saba au Ana diploma tu nk. Huyu mdini makamu Wake alikuwa mwislamu. Waziri mkuu mwislamu. Judge mkuuu mwislamu. Spika mkristo Lakini dhehebu tofauti na anataka sehemu tofauti.
Kiongozi, kwani Mzee Waryoba kasema nini kuhusu uteuzi/ukabila/dini?Tunamuheshim Sana Mzee wetu huyu,
Anatutonesha madonda yetu,
Anadhan tunapokaa kimya hatujui yanayofanyika ndan ya nchi hii
Hii kama ni serikali ya wananchi lazima wananchi waseme. Hatuwezi kuletewa kina Blair watu wenye akili wakakaa kimya.Yaani Heading ya uzi Nimeisoma zaidi ya mara saba sioni jambo alilofanya kiasi cha kuambiwa aachane na serikali.
Teuzi hazifanywi kwa kuzingatia dini au kabila na sidhani hiyo ilikuwa nia ya mamlaka ya uteuzi. Yawezakana kabisa ikawa coincidence wala siyo intention na hasa kwenye dini. Kwa kabila lets say ni wengi kwa sababu ndiyo kabila lenye watu wengi?!Friends and Our Enemies...