johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa....... Labda ni ukubwa wa kabila lenyewe au kanda.Kwani hujaolewa na yule mwana cdm aliyekupa mimba?
Mleta thread hakuna sehemu ameitaja cdm lkn wewe kwa kuwashwa na cdm umeiingiza kwenye upuuzi wenu.
huyo jamaa yako si aliwatukana wazee wastaafu akawaambia waache kuwashwa washwa, lakini kiuhalisia aliweka wasukuma kibao, kama kuna msukuma hakupata kazi kipindi hicho asahau.,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,
Endelea kudangaHahahaaaa....... Labda ni ukubwa wa kabila lenyewe au kanda.
2015 kanda ya ziwa ndio ilitoa wabunge wengi wa Chadema.
Umeshafura!Endelea kudanga
Wao walitilia mkazo elimu ya ahera wakaacha elimu ya dunia ambayo inatawala kila kitu.Kutengeneza kumbukumbu namna hii inaonyesha jinsi gani roho ya udini ilivyo kukaa kisawasawa, kama una asilimia zaidi ya 95 ya wasomi waliobobea kwenye taaluma zao ambao ni wakristo ni jambo gani la kushangaza kukuta wakiwa wengi zaidi kwenye kuongoza taasisi na mashirika mbalimbali ya umma....
Unajua maana ya orodha?Kalemani ni PS?
SanaUtawaweza basi hawa makafiri.
Kwao wakiteuliwa wakristo 9 na muislamu mmoja sio udini.
Wakiteuliwa wakristo watano na waislamu watano huo kwao ni udini.
Wakiteuliwa wakristo 4 na waislamu 6 hapo ndo udini uliopitiliza.
Mipumbavu sana hii mijitu.
Aunt mbona unapenda ubishi?Unajua maana ya orodha?
Warioba amekuwa akitajwa kama Malaika vile kuhusiana na mapendekezo yake ya Katiba Mpya. Kwa Kuwa tu Warioba alisema hivyo, wahusika wanadai lazima tufuate. Leo Warioba amekuja na suala jingine ambalo haliwapendezi wengine. Amesahaulika mara kwamba yeye ndiye anayekaririwa kuwa mkombozi wa Taifa. Amegeuka kuwa mbaya.Friends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,
Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi,
Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gan,
Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,
Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?
Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani
Wakristo watupuuuu
Wajumbe ;
Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika
Mwenyekiti Bodi;
Dkt. Alexander Kyaruzi
Mkurugenzi Mkuu
Tito Mwinuka
REA
Bodi ya REA ya Dkt Kalemani
Wakristo Watupu
Members:
1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member
Jaji Warioba hukuyaona haya?
Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;
*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *
1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma
2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *
3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *
4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma
5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma
6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma
7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma
8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa
9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *
10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa
11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *
12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma
13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma
14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma
15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *
16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo
17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *
18. DG NSSF William Erio *Mkristo *
19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *
20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *
21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo
22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *
23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo
24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo
25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo
26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo
27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo
28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo
29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo
30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo
31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo
32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo
33. CAG Charles Kichere Mkristo
34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo
35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-
The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu
1. Dr Maulidi Banyani NHC
2. Dr Athumani Ngenya TBS
3. Waziri Kindamba TTCL
4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority
Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,
Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Aiseee hayati bhanaFriends and Our Enemies...

Hii hoja uliitoa wiki Jana . Hukuridhika na uchangiaji wa members humu ?!. Mbona umeirudisha , au Una shida binafsi na Warioba ?!
Ndio maana tulishaimba mara kibao Rais ateue mawaziri na wakuu wa vyombo vya usalama hawa wengine iachiwe taasisi ya utumishi wa umma, zamani TAMISEMI walikuwa na utaratibu mzuri wa kuwapata wakurugenzi wa halimashauri uko wapi kwa sasa huo utaratibu nao wamekuwa wateule wa Rais... why? sababu ziko wazi SIASA!Friends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,
Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi,
Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gan,
Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,
Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?
Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani
Wakristo watupuuuu
Wajumbe ;
Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika
Mwenyekiti Bodi;
Dkt. Alexander Kyaruzi
Mkurugenzi Mkuu
Tito Mwinuka
REA
Bodi ya REA ya Dkt Kalemani
Wakristo Watupu
Members:
1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member
Jaji Warioba hukuyaona haya?
Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;
*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *
1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma
2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *
3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *
4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma
5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma
6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma
7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma
8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa
9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *
10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa
11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *
12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma
13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma
14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma
15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *
16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo
17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *
18. DG NSSF William Erio *Mkristo *
19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *
20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *
21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo
22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *
23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo
24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo
25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo
26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo
27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo
28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo
29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo
30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo
31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo
32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo
33. CAG Charles Kichere Mkristo
34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo
35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-
The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu
1. Dr Maulidi Banyani NHC
2. Dr Athumani Ngenya TBS
3. Waziri Kindamba TTCL
4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority
Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,
Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Your head need to be scannedUmetisha bwashee!
Hiyo orodha ya wateule ni kama Chadema ya wakati ule.
1. Katibu mkuu.............. Dr Mashinji ( Mkristo msukuma)
2. Naibu Katibu mkuu..... J J Mnyika ( Mkristo msukuma)
3. Chairman Bavicha........ Katambi ( Mkristo msukuma)
Labda ndio kabila lenye watu wengi!
Vigezo vya uteuzi vya JPM vilikuwaUjinga gani huu. Magufuli aliangalia weledi sio dini ya mtu. Nyie wenye kuhesabu wakristo na waislam ndio mnaondoa watu weledi Phds mnaweka waislaam wenye ujuzi kupiga hela ya umma.
Muhimu ni weledi na uadilifu wa mtu japo busara ya kiongozi inahitajika kwenye uteuzi.
Kuwaleta wafanya biashara wakubwa kwenye uongozi wa mashirika ya umma na watu wenye sifa za kutiliwa mashaka kwa kisingizio cha udini ni jambo halikubaliki.
Bishoo mimi sipendi ubishi ila unatabia ya kutoka nje ya mada. Jifunze kujenga hoja zenye mashiko. Huu wenyewe wanaita"home of great thinkers."Aunt mbona unapenda ubishi?
Sina swali ,uko kikazi zaidiFriends and Our Enemies.
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao.
Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi.
Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gani.
Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika.
Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?
Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani
Wakristo watupuuuu
Wajumbe ;
Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika
Mwenyekiti Bodi;
Dkt. Alexander Kyaruzi
Mkurugenzi Mkuu
Tito Mwinuka
REA
Bodi ya REA ya Dkt Kalemani
Wakristo Watupu
Members:
1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member
Jaji Warioba hukuyaona haya?
Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;
*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *
1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma
2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *
3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *
4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma
5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma
6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma
7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma
8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa
9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *
10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa
11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *
12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma
13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma
14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma
15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *
16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo
17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *
18. DG NSSF William Erio *Mkristo *
19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *
20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *
21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo
22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *
23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo
24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo
25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo
26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo
27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo
28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo
29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo
30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo
31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo
32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo
33. CAG Charles Kichere Mkristo
34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo
35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-
The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu
1. Dr Maulidi Banyani NHC
2. Dr Athumani Ngenya TBS
3. Waziri Kindamba TTCL
4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority
Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,
Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Tegemezi ni mtu anaemtegemea Fulani,ukute ulipata wani o&a levelAlafu ukute huyu ndiyo mtu tegemezi wa team kojani
Hiyo asilimia 95 kuwa wakristo pekee ndio wasomi waliobobea kwenye fani hizo umeipataje?Kutengeneza kumbukumbu namna hii inaonyesha jinsi gani roho ya udini ilivyo kukaa kisawasawa, kama una asilimia zaidi ya 95 ya wasomi waliobobea kwenye taaluma zao ambao ni wakristo ni jambo gani la kushangaza kukuta wakiwa wengi zaidi kwenye kuongoza taasisi na mashirika mbalimbali ya umma....