KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Kila nikiangalia upeo wa kufikiri wa mzee warioba nathubutu kusema ni moja ya masiha na mzalendo pekee atakayetuokoa na mashetani wanaotufanya tuendelee kuwa watumwa katika taifa letu maana kila ikatamka herufi neno lake moja ni mwiba mkali sana kwa wale madhalimu na makabahila wanaotunyonya bila huruma na wanakosa hata pakukwepea maana maneno yake yanachoma kila mahali.
Mungu wangu mbariki mzee huyu mwenye fikra pevu na zilizo na mbolea.
Mungu wangu mbariki mzee huyu mwenye fikra pevu na zilizo na mbolea.