KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Usitumie jina hilo vibaya, yaani warioba kwa hoja ya kutugawa leo mnamtunuku hadhi ya kitakatifu namna hy kweli nimeamini kumbe wapo wajinga wengi ndani ya hii nchi, watu dunian kote katika karne hii wanaungana cc ka nchi kadogo maskini tunajenga hoja za kutengana ama kweli
Kila nikiangalia upeo wa kufikiri wa mzee warioba nathubutu kusema ni moja ya masiha na mzalendo pekee atakayetuokoa na mashetani wanaotufanya tuendelee kuwa watumwa katika taifa letu maana kila ikatamka herufi neno lake moja ni mwiba mkali sana kwa wale madhalimu na makabahila wanaotunyonya bila huruma na wanakosa hata pakukwepea maana maneno yake yanachoma kila mahali. Mungu wangu mbariki mzee huyu mwenye fikra pevu na zilizo na mbolea
Nakubaliana na mleta mada, yule mzee amejaa busara tele, mi nangojea hotuba zinazokuja soon ili niendelee kutathmini busara za watu wengine!
Sijui nianze wapi nimalizie wapi kwa huyu mzee
Kumbe bado M.mungu anaitakia kheri Tanzania kwaku mzee kama warioba kuwa hai.
Hata wakifa wastaafu wote waliowahi kutawala hatupati hasara kuliko angetangulia warioba
Hii ndio tunu pekee, akitokea wa kumpinga kutoka upande wowote wa tanganyika,znz, ccm,chadema, cuf au chama chochote anafaa kunyongwa hadharani. Kweupeee
Mzee Warioba ameongea kwa hisia kali na sio kama wale watafutaji wa tonge
Mungu ampe umri aje ashuhudie mambo mengi ndani ya nchi hii.
Ameen
Tusubiri za mkuu wa Kaya atakapokuja kuzindua BMK ijumaa
Haaaaahaaaha! Siku hizi wanaojua kutoa hotuba zenye maana na mvuto kwa wasikilizaji ni wachache sana! Jaji Warioba na Profesa Shivji ni viongozi wachache waliobaki wanaoweza kuhutubia kwa ufasaha na kile wanachokiwakilisha kwa jamii kikaeleweka na kupokelewa kwa mikono miwili tofauti na watawala watoa mipasho!Nakubaliana na mleta mada, yule mzee amejaa busara tele, mi nangojea hotuba zinazokuja soon ili niendelee kutathmini busara za watu wengine!
Tusubiri za mkuu wa Kaya atakapokuja kuzindua BMK ijumaa
Tuseme ukweli serikali tatu hazifai hata kidogo kama kweli hayo ni maoni ya watanzania wengi basi walidanganywa na wanasiasa,ukweli ni kwamba nyuma ya pazia wanasiasa wanajua serikali tatu ni ulaji maana hizo mbili tu bajeti yao ni kubwa sana na wanatunyonya sana wa chini fikiria laki 3 kwa cku watu wanagoma walimu ni mwezi mzma mshahara lenfo lao kubwa kuongeza ukubwa wa serikali ili wajilimbikizie utajiri bac hawana lolote ila watanzania hawaoni kabisa ....ni heri tubaki kama tulivyo changamoto zetu tuzirekebishe au kila mtu kwao yaishe kuliko kuongeza ukubwa wa serikali yani tunazidi kuwapa ulaji tu mwaka mzima itakuwa vikao katoka bara bungeni anaingia kwenye serikai
li ya tatu uwizi mtupu.. nashangaa sana fikiri mAra mbilijuzi tu mishahara iligoma kwa kuchukua bajeti ya hivyo vikao mpaka wakaenda kukopa southa afrika. yani nasema kweli serikali tatu ni janga jingine la kitaifa haifai kabisa.tafakari kwa makini.watu ni walewale.
Usitumie jina hilo vibaya, yaani warioba kwa hoja ya kutugawa leo mnamtunuku hadhi ya kitakatifu namna hy kweli nimeamini kumbe wapo wajinga wengi ndani ya hii nchi, watu dunian kote katika karne hii wanaungana cc ka nchi kadogo maskini tunajenga hoja za kutengana ama kweli
ww ndio m.j.i.n.g.a mkubwa jaji warioba amezeeka mwili ila bado ni kichwa sijawah kuona PRESENTATION nzuri yenye point kama aliyowasilisha jana
Nakubaliana na mleta mada, yule mzee amejaa busara tele, mi nangojea hotuba zinazokuja soon ili niendelee kutathmini busara za watu wengine!
Sijui nianze wapi nimalizie wapi kwa huyu mzee
Kumbe bado M.mungu anaitakia kheri Tanzania kwaku mzee kama warioba kuwa hai.
Hata wakifa wastaafu wote waliowahi kutawala hatupati hasara kuliko angetangulia warioba
Hii ndio tunu pekee, akitokea wa kumpinga kutoka upande wowote wa tanganyika,znz, ccm,chadema, cuf au chama chochote anafaa kunyongwa hadharani. Kweupeee
Mzee Warioba ameongea kwa hisia kali na sio kama wale watafutaji wa tonge
Mungu ampe umri aje ashuhudie mambo mengi ndani ya nchi hii.
Ameen
Tuseme ukweli serikali tatu hazifai hata kidogo kama kweli hayo ni maoni ya watanzania wengi basi walidanganywa na wanasiasa,ukweli ni kwamba nyuma ya pazia wanasiasa wanajua serikali tatu ni ulaji maana hizo mbili tu bajeti yao ni kubwa sana na wanatunyonya sana wa chini fikiria laki 3 kwa cku watu wanagoma walimu ni mwezi mzma mshahara lenfo lao kubwa kuongeza ukubwa wa serikali ili wajilimbikizie utajiri bac hawana lolote ila watanzania hawaoni kabisa ....ni heri tubaki kama tulivyo changamoto zetu tuzirekebishe au kila mtu kwao yaishe kuliko kuongeza ukubwa wa serikali yani tunazidi kuwapa ulaji tu mwaka mzima itakuwa vikao katoka bara bungeni anaingia kwenye serikai
li ya tatu uwizi mtupu.. nashangaa sana fikiri mAra mbilijuzi tu mishahara iligoma kwa kuchukua bajeti ya hivyo vikao mpaka wakaenda kukopa southa afrika. yani nasema kweli serikali tatu ni janga jingine la kitaifa haifai kabisa.tafakari kwa makini.watu ni walewale.
Kati ya mitihani aliyowahi kufanya huu ni mmojawapo, mzee wetu mwadilifu Warioba kamaliza kazi yake kiuadilifu sasa tunamsubiri mkuu wa kaya, nahisi ilikuwa planned kumtanguliza mzee WariobaTusubiri za mkuu wa Kaya atakapokuja kuzindua BMK ijumaa