OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Urafiki wa Mashaka baina ya Jaji Warioba na Chama chake cha CCM uliofufuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaweza kuingia dosari baada ya Jaji huyo mstaafu kusema iwapo serikali itaanza mchakato wa kumalizia katiba atatoa yake ya moyoni. Mwananchi linaripoti.
Baada ya waziri wa sheria Dr.Mwakyembe kueleza kuwa John Magufuli amemuagiza aendelee na mchakato wa katiba pale ulipoishia, Jaji Warioba amehifadhi yake ya Moyoni lakini atayatoa.
YANGU YA MOYONI:-
Baadhi ya wajumbe wa Tume ya Katiba hawana tena credibility ya kutusemea.Kuna H.Polepole, Butiku na Warioba mwenyewe, wapige kimya tu.
Hapo ndipo watanzania watakapoanza kumjua vizuri Magufuli
huyu mnywa gongo aache unafiki wake. si akamuulize magufuli aliekuwa anampigia kampeni.. Ndio maana makonda alimdunda
Na anyamaze milele. Alipokwa anazunguka kamnadi JPM alikwa anafikiri nini? Binafsi sina kinyongo na JPM lakini kama ningekuwa Jaji Warioba, nisingejitokeza lichwa kichwa kumnadi JPM. Ningenyamza. Hii ingenipa fursa ya kusema yangu ya moyoni endapo mchakato wa katiba ungeanza kama ambavyo inatarajiwa.Urafiki wa Mashaka baina ya Jaji Warioba na Chama chake cha CCM uliofufuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaweza kuingia dosari baada ya Jaji huyo mstaafu kusema iwapo serikali itaanza mchakato wa kumalizia katiba atatoa yake ya moyoni. Mwananchi linaripoti.
Baada ya waziri wa sheria Dr.Mwakyembe kueleza kuwa John Magufuli amemuagiza aendelee na mchakato wa katiba pale ulipoishia, Jaji Warioba amehifadhi yake ya Moyoni lakini atayatoa.
YANGU YA MOYONI:-
Baadhi ya wajumbe wa Tume ya Katiba hawana tena credibility ya kutusemea.Kuna H.Polepole, Butiku na Warioba mwenyewe, wapige kimya tu.
Mkuu mimi naweka akiba ya maneno...lakini sina imani na Magufuli katika suala la katiba na naamini hana ubavu wa kupingana na mkwereNasubiri kuona atakachofanya Magufuli kuhusu muendelezo wa katiba mpya.Hii ni kati ya mitihani mikubwa ya Rais huyu wa awamu ya tano.Akiipiga teke rasimu ya Warioba wananchi wataona hayuko pamoja nao,na akiikumbatia rasimu ya Warioba CCM wataona hayuko pamoja nao.Ni vita kati ya wema na uovu,tusubiri tuone kipi kitashinda.
huyu mnywa gongo aache unafiki wake. si akamuulize magufuli aliekuwa anampigia kampeni.. Ndio maana makonda alimdunda