Huu ndio ukweli mchungu wapendwa watanzania na hasa wale wanaaojiita wana CCM!
Kama kuna mwana CCM anataka kujua jinsi ya kuwa mwana CCM wa kweli awatafute Jaji Joseph Sinde Warioba na Mzee Joseph Butiku. Hawa ndio wana CCM kwa maana halisi waliobaki nchi hii!
Wengine wote waliobaki ni wavamizi wa chama na wachumia tumbo.
CCM imepoteza muelekeo na kuwa genge la wanaotafuta maslahi yao binafsi na wafujaji wa mali za mtanzania maskini.