Sonara
JF-Expert Member
- Oct 2, 2008
- 726
- 70
Jaji warioba amedhihirisha dhahiri shahiri kuendelea kutowatendea haki wazanzibari kwa hali yeyote ile, hilo lilianza kuonekana mapema nini madhumuni yake katika kuikandamiza sauti ya Wazanzibari ndani ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Mungano na kuwanyima haki yao kimamuzi Wanzanzibar.Warioba na tume yake waliwezaje kuwafikilia Viongozi wastafu katika (remote Village) upande wa Tanganyika huku akishindwa kumfikia Aliyekuwa Waziri Kiongozi wa SMZ pia ni Mwanamapinduzi na Munganishaji wa ASP na TANU nakuzaliwa kwa CCM Mzee Ramadhani Haji Faki?Mzee Ramadhani ni mzima tena anaishi mjini Unguja ,isitoshe zaidi na lakusununisha zaidi kufanyadharau zakutomfikia Mzee wetu Aboud Jumbe ambae kama sio yeye leo hii pasingekuwa na CCM ,kwa mwenendo huu warioba anahakikisha katu katu hatowatendea haki wazanzibar ,Binafsi nimjuwavyo warioba Wazanzibar hatowatendea haki .