chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana.
Polepole alikuwa na Warioba wakisaka posho, mpaka Makonda akamchapa mateke Jaji Warioba baada ya hapo alipunguza wenge. Sasa naona wenge linarudi kwa kasi.
Kuna watu walishazoea kupewa tenda za ushauri ikulu, mmoja wapo ni Jaji Warioba(sijui Jaji wa nini, maana hajawahi kuhukumu kesi yoyote). Akiachwa nje huwa anachanganyikiwa, anajihisi na kujilinganisha na Nyerere, wakati katika kashfa ya MWANANCHI GOLD alipiga Hela ndefu za dhahabu pale Benki Kuu.
Mawaziri wakuu wenzake wamepumzika, yeye anahangaika huku na kule anapanda ngazi za maghorofa akisaka posho za semina na makongamano, mtu ana miaka karibu themanini anagombea posho na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000.
Mzee Nyerere alipostaafu alirudi Butiama, huyu nadhani hata kwao hajajenga. Anazurura Dar es salaam tu. Kuna madai alioa mchaga, mchaga akamjengesha nyumba Moshi, kwao hajajenga.
Ndio maana Makonda alimchapa ngwala akiwa katika harakati za kusaka posho.