Jaji Warioba ni sehemu ya kikundi cha chokochoko dhidi ya Rais Samia, wakati anavamiwa na Makonda, alikuwa na Polepole, rafiki ya Bashiru

Kuna vitoto ni vipumbavu sana nchi hii. Vikishashiba ugali vinaropoka tu. Hebu fikiria kuna kazezeta kanapata ujasiri wa kuhoji hata Elimu ya Mzee Warioba wakati vimesoma hivyo vyuo vyao vikiwa vinaongozwa na makada ya chama, sasa ukiambiwa kuna vitoto vina laaana unabisha nini.
 
Warioba hana hadhi ya ujaji, na hakuna hukumu aliyowahi kutoa, hawa ndio wale wakiitwa na wajita "YEGO JAJI" basi tayari anajiona jaji
 
ccm kuna majinga mengi sijawahi kuona wakiongozwa na magwangala ya nzega vijijini.
 
Taasisi ya kuchapa ngwala na kudhalilisha wazee duh ! 😂😂😂
 
Hawa walikupa likes hawana akili
 
Mleta mada huna akili wala fikra za karne 21 hata kidogo!
Ulitakiwa mwisho wako wa kuishi uwe karne ya 17 na si vinginevyo!
 
Hivi utaishi kwa kulampa viatu vya watawala mpk lini ukifikiria upate uteuzi bro pambana na maisha yako unapoteza muda na mapambia ya kusaka uteuzi
 
Lkn pia leo nimefirikia hakuna hoja yoyote bashiru ameleta wal
 
Bi
Bila kusahau, mkiti msaidizi wa Tume ya Katiba alikuwa sa100, naye alikuwa sehemu ya chokochoko?

Nani hapo mnafiki?
 
Siku ukijua kuwa SA100 ndiyo chokochoko mkuu hapa tz ,ndiyo utakuwa umeanza kupata akili
 
Hongera mkuu hoja kwa hoja kuna wapumbavu kama msukuma na kibajaji hovyo kabisa hawa watu
 
Warioba always hapindishi penye ukwel atasema ingawa inakua mbaya kwa chama chake maan ukwel kwao ni jinai. Halafu usilete mamb ya chokochoko ndo kitu gan!!
 
CCM inapasukia patamu
 
Pale alikuwa na wanachama hoja aipeleke wapi wakati ndo anaongea na wanachama unajua mambo mengine mnarefusha tu badala yaishe hapohapo ndo maana machawa walimchukia sana makufuli hoja ikimfikia alikuwa anaamua hapohapo kwasababu ikipita bungeni itachukua miaka mwanaume alikuwa anaamua papo kwa papo ndo ilivyo kuwa kwa bashiru aliamua kuongea moja kwa moja hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…