PostGE2025 Jaji Warioba: Ninatishwa, maisha yangu nimeyakabidhi kwa Mungu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatima ya maisha ya Mtanganyika ipo mikononi mwa Mzanzibar. Inasikitisha sana.

Kwa saab tunawasujudia sana Wazanzibar ....

Angalia front page la jamvi la Watanganyika limepambwa na Fei Toto na mpira kifuani. Timu lenyewe limefungiliwa mbali. Huyo Fei Toto wa nini hapo juu ? Ushamba tu.

Watanganyika tumekuwa mafala kwa Wazanzibari...
 
Ni wale wale wa siku zote
 
Wanamtisha huyo mzee wa miaka 80 na kitu ili iweje?

Wamguse waone….
You know better than this.

"Wamguse waone"?

P'se do not dare these desperate idiots. who have nothing to lose.

Who thought they were capable of butchering people as they did, and yet they have no remorse whatsoever for such a devilish act; and here we're, they are still sitting tight in their positions as if nothing happened!

Inabidi tujifunze kusema machache mbele ya hawa waovu, hata kama tunajuwa juhudi za waTanzania kujikwamua katika janga hili.
 
Kuna watu wanataka kupigwa radi kwenye hizo misheni zao za kiovu, shauri yao
 
utishwe una nini we mzee,
acha unafiki wa kutafuta kiki za kijinga
 
ROSTAM AZIZI NA RAIA FEKI WENZIE KINA BARRESA WATAUA SANA WATANGANYIKA KAMA NILIVYO SEMA SIKU ZA NYUMA ... KUNDI LA RAIA FEKI LILIPANGA NJAMA ZA KUSHIKA DOLA LA TANGANYIKA MIAKA MINGI NYUMA NA NJIA WALIYO TUMIA NI KUPITIA WAISLAMU VIONGOZI MAANA WAISLAMU WAKIWA VIONGOZI KAMWE AWAWEZI KUWA WAZALENDO HIVYO NDIYO WALIO TUMIWA NA HAO RAIA FEKI.
 
Sumu ilikuwa method ya zamani mzee
Sasa hivi wanakuja tu kukubeba kimabavu ukiwa kwako, wanapita na wewe...

Kesho taarifa inasikika "Warioba amebebwa na watu wasiofahamika, polisi wanaendelea kuchunguza"
Walishafanya calculations kwamba umma na media watapiga kelele miezi 4...baadae kwisha..

Aisee hakuna Haki duniani.
Utamuachia Mungu na utakufa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…