PostGE2025 Jaji Warioba: Ninatishwa, maisha yangu nimeyakabidhi kwa Mungu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
mbona anaogiopa mapema
 
Katika uchaguzi wa 2025, CCM wamevunja karibia kila Amri ya Mungu:

1. Wameua

2. Wamezini

3. Wameiba

4. Wameshuhudia watu uongo (kwa kuwaita wadai haki kuwa wamehongwa, wanatoka nchi jirani na wengine ambao hawakuwa hata katika maandamano nao wamewajumuisha katika uongo huo)

5. Wameshindwa kuwaheshimu Wananchi (baba na mama yao) maana hao ndiyo wamezalisha hayo madaraka waliyonayo

6. Wameshindwa kuitakasa siku ya Sabato (November 01), tena wakaenda mbali zaidi kwa kuinajisi siku hiyo kwa kuua raia wasio na hatia na kutupa/kuchoma maiti zao
 
Kwamba ndio mumtishe na kutaka kumuua kama maxmellow humu?
Akubali mnayotaka nyinyi nyie ni nan?
UISLAM NDIO UNAFUNDISHA HIVYO

Wewe ulipo hapo unafaida gani?
KOPO LA CHOONI WEWE
Mimi nazalisha mali,ajira,warioba anafilisi hazina tu halafu anaongea shudu
 
Mzee aendelee tu kupiga spana. Awapuuze hao wapumbavu; he has nothing to lose!
 
Ndiyo muache kumtisha.
Leo ukimtishia mtu nitakuuwa.
Kesho akaokotwa amekufa kifo cha kunyongwa utakamatwa wewe. Kumbe inawezekana amejinyonga mwenyewe.
Tatizo la Tanzania kila mtu mwenye simu ya smartphone anajiona kila kitu wakili, kocha wa timu ya taifa, injinia mjenzi wa majengo yaani yeye ndio kila kitu, kibaya zaidi maoni yake yanasomeka kirahisi tu.

Ukiwa na akili iliyotulia sio kila kinachosemwa kina haki ya kutiliwa maanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…