Akizungumza na Jamhuri TV Jaji Mstaafu Joseph Warioba ameeleza ni kwa namna gani siku hizi watu wamekuwa na uoga sana wa kusdma ukweli na wanaotoa hoja wanaitwa wapotoshaji.
"Lazima tuambiane ukweli, sasa hivi kuna uoga wa kusema ukweli, kuna uoga mkubwa sana wa kusema ukweli. Tena lugha za siku hizi ukitoa wazo au hoja kuna majibu ya mkato wanasema hiyo ni kupotosha" Jaji Warioba