Jaji WARIOBA: Simsikilizi tena LISSU

Jaji WARIOBA: Simsikilizi tena LISSU

Status
Not open for further replies.

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba,amesema kuwa hana haja ya kumsikiliza Wakili Tundu A.M.Lissu tena kwakuwa sasa ametosheka na maelezo yake.Jaji Warioba alikuwa akizungumza nami nilipomdadisi juu ya aliyoyasema Wakili Lissu AICC kwenye Mkutano wa Mawakili ambapo Jaji Warioba pia alikuwepo. Jaji Warioba akasema kuwa maoni na uchambuzi wa Wakili Lissu mbele ya Mkutano wa Mawakili vinatosha kuitwa 'maoni Mujarabu ya Katiba Mpya'.

'Lissu ni mwakilishi wa wengi.Kukosoa kwake mfumo wa Sheria kusipuuzwe' alisema Jaji Warioba. 'Naweza kusema kuwa sina haja tena ya kumsikiliza Mh. Lissu kwakuwa nimeshamsikia na kuchukua maoni yake....natania lakini' aliongeza Jaji Warioba.

Maoni yangu: Jaji Warioba amempa 'salute' Wakili Lissu.Ameamini kuwa Lissu anatisha
 
lissu jembe bana..walikubali au walikatae...
 
Hiyo mihela ya tume ya katiba hivi kweli haijamrejesha Jaja Warioba kwenye kidumu cha ........
 
Majaji wenyewe sasa wanamuogopa kama TL ndio mwajiri wao!
 
Lissu anaogopwa sasa na Mashetani woooote wa CCM, Werema chukua hiyo toka kwa Warioba
 
Nimeshangaa mawakili wengi waliokuwamo mle ndani walikua wanacheka tu kama vile yale mambo mazito hayawaingii...Lissu ni mtu ana ufahamu mkubwa sana wa sheria..hata majudge wengi sana wanamuogopa...na ukweli wa kesi nyingi kuchelewa sio kwasababu ya wingi wa kesi pia ukilaza kwenye tasnia ya sheria!!
 
Mh Warioba ni mchumia tumbo, hawezi kumkosoa JK, where is Kingunge now after last dodoma's meeting?
 
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba,amesema kuwa hana haja ya kumsikiliza Wakili Tundu A.M.Lissu tena kwakuwa sasa ametosheka na maelezo yake.Jaji Warioba alikuwa akizungumza nami nilipomdadisi juu ya aliyoyasema Wakili Lissu AICC kwenye Mkutano wa Mawakili ambapo Jaji Warioba pia alikuwepo. Jaji Warioba akasema kuwa maoni na uchambuzi wa Wakili Lissu mbele ya Mkutano wa Mawakili vinatosha kuitwa 'maoni Mujarabu ya Katiba Mpya'.

'Lissu ni mwakilishi wa wengi.Kukosoa kwake mfumo wa Sheria kusipuuzwe' alisema Jaji Warioba. 'Naweza kusema kuwa sina haja tena ya kumsikiliza Mh. Lissu kwakuwa nimeshamsikia na kuchukua maoni yake....natania lakini' aliongeza Jaji Warioba.

Maoni yangu: Jaji Warioba amempa 'salute' Wakili Lissu.Ameamini kuwa Lissu anatisha

Mkuu hapo kwenye maoni yako mbona umesema sivyo ? ww mwenyewe umesema alisema anatania tu, kwa lugha ya kifasihi ina maana kuwa amemuona yeye ni mweupe na hana kitu, kwani ukizingatia lissu yeye si mtaalam wa sheria za katiba , yeye ni mazingira. Waatalam wa sheria sheria za katiba ni mwakyembe na prof kabudi. Hapo jibu umepata , kajipange upya na mada yako sasa
 
Nimeshangaa mawakili wengi waliokuwamo mle ndani walikua wanacheka tu kama vile yale mambo mazito hayawaingii...Lissu ni mtu ana ufahamu mkubwa sana wa sheria..hata majudge wengi sana wanamuogopa...na ukweli wa kesi nyingi kuchelewa sio kwasababu ya wingi wa kesi pia ukilaza kwenye tasnia ya sheria!!

lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira , na si mtaalam wa sheria za katiba, muulize yeye mwenyewe atakuambia. Mabingwa wa sheria za katiba ni mwakyembe na prof. kabudi, upo hapo???
 
Mkuu hapo kwenye maoni yako mbona umesema sivyo ? ww mwenyewe umesema alisema anatania tu, kwa lugha ya kifasihi ina maana kuwa amemuona yeye ni mweupe na hana kitu, kwani ukizingatia lissu yeye si mtaalam wa sheria za katiba , yeye ni mazingira. Waatalam wa sheria sheria za katiba ni mwakyembe na prof kabudi. Hapo jibu umepata , kajipange upya na mada yako sasa

maelezo ya mtoa mada yapo clear kabisa,,,,Lisssu hajaongelea katiba,kwa mujibu wa mtoa habari
 
Mkuu hapo kwenye maoni yako mbona umesema sivyo ? ww mwenyewe umesema alisema anatania tu, kwa lugha ya kifasihi ina maana kuwa amemuona yeye ni mweupe na hana kitu, kwani ukizingatia lissu yeye si mtaalam wa sheria za katiba , yeye ni mazingira. Waatalam wa sheria sheria za katiba ni mwakyembe na prof kabudi. Hapo jibu umepata , kajipange upya na mada yako sasa

Do do do hivi kweli we ni Great Thinker au 🙂
 
Geniusbrain umeibukia tena huku umechomoka kwa RPC wako Iringa umekodiwa huku
sijaelewa kama umeweza kumchambua na kujua aliyoyaainisha mbele ya prominent
people unadai Lissu ni mweupe wa sheria za katiba sasa sijui ww ni mtaalamu
wa sheria zipi on my side unaweza kuwa mtaalamu wa sheria za mabomba ya
DAWASCO 'Maji Taka" kama si PIT LATINS
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom