Jaji WARIOBA: Simsikilizi tena LISSU

Status
Not open for further replies.
Lissu is another class -- Kama ni Kandanda basi yeye ndiye Messi wa Sheria - tukubali tukatae.
 
UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA TUNDU LISSU ndiye MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA EAST AND CENTRAL AFRICA TANGU MUNGU AUMBE MBINGU NA ARDHI .
 
MH, WARIOBA AMKUKUWAFAIR AMEELEZA MAMBO KWA UWAZI ILI KILA MTU AJIPIME UELEWAWAKE JUU YA LILE AMBALO ANATARAJIA KUCHANGI AU KUPINGA MAONI YA WANANCHI KWENYE KATIBA.

MH TUNDU LISSU MWANZONI HAKUELEWEKA LEO MAJIBU KAJA NAYO MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA.:flypig:
 
leo kaonyesha werema ni mtaalamu wa kugeuza kichwa kuw bustani ya nywele
 
agano la kale linapokuna na jipya,mtafute Tindu Lissu atakuwepo, hongera sana
 
Lissu is another class -- Kama ni Kandanda basi yeye ndiye Messi wa Sheria - tukubali tukatae.

....ukweli huu mtamu unawachoma sana wazee wa buku 7,ngoja waje kutapika hapa....
 
Usipite ameona inatosha kutumia pesa za watz wakti maoni ya tl yanat6sha kuwa katiba
 

Leo upo Lumumba au Dodoma?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…