CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
tume imepewa ukarimu wa kutosha,lazima wafanye waliyoagizwa.450000 pa day sio mchezo.walioba hata kama angeombwa apendekeze mshahara,asingeomba hiyo pesa.Mheshimiwa Jaji Warioba,
Tunakuomba usiwachagulie waTanzania nini cha kuongea katika kutoa maoni yao. Kwa nini hutaki madaraka ya rais yazungumzwe. Kama tulivyotabiri, you will never be impartial you being a staunch product of CCM from time immemorial!!! Actually matatizo yote iliyonayo Tanzania yanatokana na madaraka makubwa aliyonayo Rais ambaye huwe ku-question deeds zake at all levels. Watanzania , hapa hakuna katiba mpya kama mratibu mkuu anaaza kuwa na kauli hizi.