Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema tangu Uhuru, Tanzania imepiga hatua kubwa mpaka kuingia Uchumi wa Kati lakini bado yapo matatizo hasa katika eneo la umasikini
Aidha, amesema Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango wamefanya Watanzania waamini Taifa lipo salama
Alishakuja nalo,KATIBA MPYA Vijana wa CCM wakiongozwa na Bashite wakampigaAje na suluhisho basi
Ova
Watu mntaka tuendelee kuwa tegemezi, mnataka tuendelee kubaki kwenye rika la umasikini ipi tuonewe huruma. Simama, TUJITEGEMEE ki kweli kweli kama nchi.Huu uchumi Wa kati tumesukumiziwa tu ila kiuhalisia si kweli bali ulikua no mtego tu!