Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Mzee Warioba ana maanisha nini anaposema waziwazi kwamba kwenye huo mkataba haitoshi kusema haya ni makubaliano na bila kupepesa macho AMESEMA WATAWALA WAANGALIE YASIYO FAA WAYAONDOE?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAYE HUYU ASIWE NDUMILAKUWILI. SEMA MKATABA HUU NI KUUZA TANGANYIKA. BLACK IS BLACK, WARIOBA USILEMBE ULIMI, USIMUOGOPE SAMIAView attachment 2667538Mwananchi.
Mzee Warioba ana maanisha nini anaposema waziwazi kwamba kwenye huo mkataba haitoshi kusema haya ni makubaliano na bila kupepesa macho AMESEMA WATAWALA WAANGALIE YASIYO FAA WAYAONDOE?!
Sawa vipi kuhhusu weweNB: Humu jf tumweshimuni yule Suzy Elias nakumbuka aliileta hiyo habari km tetesi. Inaonekana ni mtu mkubwa.
Kidumu Chama TawalaSawa vipi kuhhusu wewe
Kidumu chamaKidumu Chama Tawala
Yule mtu tumwogope maana hii habari aliileta tokea juzi km tetesi ajabu leo mzee kahojiwa na kasema vilevile inamaana yule dada yupo jikoni kwa wazee anawasikia wanavyoongeaKidumu chama
Ndugu hiyo aya ya mwisho ndicho amaanishacho.NAYE HUYU ASIWE NDUMILAKUWILI. SEMA MKATABA HUU NI KUUZA TANGANYIKA. BLACK IS BLACK, WARIOBA USILEMBE ULIMI, USIMUOGOPE SAMIA
Ata ww pia ila sion wa kumwogopa humuYule mtu tumwogope maana hii habari aliileta tokea juzi km tetesi ajabu leo mzee kahojiwa na kasema vilevile inamaana yule dada yupo jikoni kwa wazee anawasikia wanavyoongea